Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Mwanamke mfupi hutengeneza pombe nzuri. jibu Nyuki
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Haoni kinyaa. jibu Mvua
Nameza lakini sishibi. jibu Mate
Ngozi ndani nyama juu. jibu Firigisi
Nikimpiga huyu huyu alia. jibu Utomvu wa papai
Nimekata mti bara ukaangusha matawi pwani. jibu Nzige
Babako akojoapo hunung’unika. jibu Mawingu
Mwanamke mfupi hupiga kelele njiani. jibu Kunguru
Jiwe litoalo maji. jibu Macho
Nikipewa chakula nala bali natema. jibu Shoka
Upande wote umjiao atakuona. jibu Kinyonga