Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Haoni kinyaa. jibu Mvua
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Kaburi la mfalme lina milango miwili. jibu Kata ya kuchukulia Maji kichwani
Baba ameweka mkuki nje nikashindwa kuukwea, mdogo wangu akaukwea. jibu Sisimizi
Naitumia ngazi hiyo kwa kupandia na kushukia. jibu Mwiba
Mwadhani naenda lakini siendi. jibu Jua
Sijui afanyavyo. jibu Nyoka apandavyo mtini
Cheupe chavunjika manjano yatokea. jibu Yai
Po pote niendako anifuata. jibu Kivuli
Ng’ombe wa babu huchezea miambani. jibu Mijusi
Nilipokuwa mchanga nilikuwa na kijikia lakini sasa sinacho. jibu Chura
Mke wangu mfupi, lakini huvaa nguo nyingi. jibu Hindi