Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Upande wote umjiao atakuona. jibu Kinyonga
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Tumvike mwanamke huyu nguo. jibu Kuezeka nyumba
Hana mizizi, nimemkata mara nyingi lakini haachi kukua. jibu Ukucha
Wanameza watu jua linapokuchwa. jibu Nyumba
Kitu changu asubuhi chatembea kwa miguu mine, saa sita kwa miguu miwili, jioni kwa miguu mitatu. jibu Maisha ya binadamu
Kama unapenda, mbona usile? jibu Ulimi
Nilipandia majanini nikashukia majanini. jibu Mwiba
Hata jua likiwaka namna gani hakauki wala kupata joto. jibu Pua ya mbwa
Mwanamke mfupi hupiga kelele njiani. jibu Kunguru
Kuku wetu hutagia mayai mikiani. jibu Matunda
Namkimbiza lakini simkuti. jibu Kivuli