Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nikimpiga huyu huyu alia. jibu Utomvu wa papai
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Hutoka upesi sana lakini hasalimu. jibu Kuku
Hana mizizi, nimemkata mara nyingi lakini haachi kukua. jibu Ukucha
Nilipoingia Rumi, alitoka mtu na wake kumi; kila mke na tundu kumi, kila tundu na kuku kumi; kila kuku na mayai kumi. Mayai, kuku, tundu, wake, kumi kumi kumi. Wangapi walikwenda Rumi? jibu Hakuna
Tonge la ugali lanifikisha pwani. jibu Jicho
Nikimwita hunijibu nani. jibu Mwangwi
Ngoja nikumbuke. jibu Boga changa
Huwafanya watu wote walie. jibu Moshi
Dume wangu amelilia machungani. jibu Radi
Nilimkata alafu nikamridhia. jibu Kupanda mbegu
Nimekata mti bara ukaangusha matawi pwani. jibu Nzige