Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nimekata mti bara ukaangusha matawi pwani. jibu Nzige
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Sijui afanyavyo. jibu Nyoka apandavyo mtini
Huwafanya watu wote walie. jibu Moshi
Chungu change cha udongo hakipasuki kikianguka. jibu Mjusi/Panya
Ninakwenda naye na kurudi naye. jibu Kivuli
Ng’ombe wa baba watelemka mtoni. jibu Mawe mtoni
Hata Mzungu ameshindwa. jibu Mauti
Mti mkubwa, lakini una matawi mawili tu. jibu Kichwa na masikio
Nilipo, juu kuna miiba na chini vivyo hivyo; lakini sichomwi. jibu Ulimi kinywani
Fahali wa ng’ombe na mbuzi wadogo machungani. jibu Mwezi na nyota angani
Nusu mfu nusu hai. jibu Sungura alalapo