Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Jiwe litoalo maji. jibu Macho
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Ziwa kubwa, lakini naogelea ukingoni tu. jibu Moto
Mzungu yuko ndani na ndevu ziko nje. jibu Hindi
Chungu kikubwa sana chenye kifuniko kikubwa sana. jibu Dunia na mbingu
Namlalia lakini halii. jibu Kitanda
Ndugu wawili wafanana sana, lakini hawatembeleani. jibu Macho
Fahali wa ng’ombe na mbuzi wadogo machungani. jibu Mwezi na nyota angani
Hakuchi wala hakuchwi. jibu Kula
Po pote niendako anifuata. jibu Kivuli
Nyumba yangu kubwa hutembelewa mgongoni. jibu Konokono
Nimekata mti, akaja samba mwekundu akaukalia. jibu Utomvu