Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nameza lakini sishibi. jibu Mate
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Tuliua ng’ombe wawili ngozi ni sawasawa. jibu Mbingu na nchi
Kama kingekuwa mkuki, ungekuta kimekwisha kuua wote. jibu Kizingiti cha mlango
Utahesabu mchana na usiku na hutamaliza kuhesabu. jibu Nywele
Tunajengajenga matiti juu. jibu Mapapai
Teke teke huzaa gumugumu, na gumugumu huzaa teke teke. jibu Mahindi ama yai
Adui lakini po pote uendako yuko nawe. jibu Inzi
Kila mtu atapitia malango huo. jibu Kifo
Ashona mikeka wala hailali. jibu Maboga
Kiti nyikani. jibu Uyoga
Nilipitisha mkono wangu chini la ardhi, nikamshika beberu mkubwa sana. jibu Kiazi kikuu