Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Kuna mtu mwenye tumbo kubwa aliyesimama nje. jibu Ghala
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Hakionekani wala hakishikiki. jibu Hewa
Nimejenga nyumba babu akaihamia kabla mimi sijahamia. jibu Mjusi
Ndege wengi baharini. jibu Nyota
Chumba change kina ukuta niondoa na kuusimika nitakapo. jibu Pazia
Nimemwacha mzee kikongwe mtoni anangojea mgeni kulaki. jibu Mtego
Nitokeapo kila mmoja asema namtazama yeye tu. jibu Jua au mwezi
Hamwogopi mtu yeyote. jibu Njaa
Tunajengajenga matiti juu. jibu Mapapai
Upande wote umjiao atakuona. jibu Kinyonga
Kwenye msitu mkubwa Napata mti mmoja tu, lakini kwenye msitu mdogo naweza kupata miwili. jibu Watoto wa ng'ombe na mbuzi