Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nimejenga nyumba babu akaihamia kabla mimi sijahamia. jibu Mjusi
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Mbona mwasimama na mikuki, mwapigana na nani? jibu Katani
Zilitazamana na mpaka sasa hazijakutana. jibu Kingo za mto
Kuku wangu amezalia miibani. jibu Nanasi au chungwa
Njoo hapa nije hapo. jibu Kiraka
Mlima mkubwa wapandwa kuanzia juu. jibu Sima/Ugali
Wanakuja mmoja mmoja na kujiunga kuwa kitu kimoja. jibu Matone ya mvua
Napigwa na mvua na nyumba ipo. jibu Matunda ya pua/Kwapa
Kinaniita lakini sikioni. jibu Mwangwi
Kitendawili change ukikitambua nitakupa hirizi. jibu Mimba
Chungu kikubwa sana chenye kifuniko kikubwa sana. jibu Dunia na mbingu