Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nimemwacha mzee kikongwe mtoni anangojea mgeni kulaki. jibu Mtego
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Kondoo wangu mnene kachafua njia nzima. jibu Konokono
Mvua kidogo ng’ombe kaoga kichwa. jibu Jiwe
Babu, nyanya, mjomba, mama, baba na watoto, mna safari ya wapi? jibu Siafu
Ninakwenda naye na kurudi naye. jibu Kivuli
Hesabu haihesabiki. jibu Nyota
Mti mnyanya mti kerekeche mti ah mti ah!. jibu Ngoma na upatu
Hupanda mtini na mwenye kichaa wake. jibu Kivuli
Alipita mtu mwenye kibandiko cha nguo. jibu Inzi
Kondoo wangu amezaa kwa paja. jibu Mhindi
Ziwa kubwa, lakini naogelea ukingoni tu. jibu Moto