Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nitokeapo kila mmoja asema namtazama yeye tu. jibu Jua au mwezi
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Hauchagui chifu wala jumbe. jibu Utelezi
Para hata Maka. jibu Utelezi
Akitokea watu wote hunungunika na kuwa na huzuni. jibu Ugonjwa
Hutoka upesi sana lakini hasalimu. jibu Kuku
Anatoka kutembea, anakuja nyumbani anamwambia mama, ‘Nieleke’. jibu Kitanda
Babu mkubwa ameangushwa na babu mdogo. jibu Mti na shoka
Chungu change cha udongo hakipasuki kikianguka. jibu Mjusi/Panya
Nilipokuwa mchanga nilikuwa na kijikia lakini sasa sinacho. jibu Chura
Ameingia shimoni akiwa uchi, akatoka amevaa nguo nzuri. jibu Mbegu
Anapendwa sana ingawaje ni mkali sana. jibu Moto