Savanis bookshop Savanis Bookshop

  • Home
  • Blog
  • Departments
    • Computer Science and Engineering
    • Civil Engineering
    • Machanical engineering
    • EEE
    • BBA
    • Literature
    • Others
    • Text book centre buy now
    • Uncategorized
    • Manga Books
  • Books
  • Login

Hamwogopi mtu yeyote. jibu Njaa

Enter kitendawili



Related vitendawili na majibu yake
  • Sijui aendako wala atokako. jibu Upepo
  • Askari wangu wote wamevaa kofia upande. jibu Majani
  • Watu ishirini walipanda juu ya mti, wawili wakaona chungwa, watano wakalichuma, kumi wakalimenya, wote wakaridhirika mtu mmoja alile. Je, ni watu gani hao? jibu Waliopanda ni vidole vya miguu na mikono, walioona ni macho mawili, waliochuma ni vidole vitano vya mikono, waliomenya ni vidole vya mikono yote miwili, na aliyelila ni mdomo
  • Nimezungukwa na adui wengi, lakini siumizwi. jibu Ulimi na meno
  • Watoto wa mtu mmoja hulala chini kila mwaka. jibu Maboga
  • Zilitazamana na mpaka sasa hazijakutana. jibu Kingo za mto
  • Tangu kuzaliwa kwake sijamwona asimame wala kukimbia. jibu Mkufu
  • Umempiga sungura akatoa unga. jibu Funds LA mbuyu
  • Chakula kikuu cha mtoto. jibu Usingizi
  • Mzungu yuko ndani na ndevu ziko nje. jibu Hindi

Book Shop Online

This is a online books market place, it allows you to sell & buy your favourite books. You can also find here different types of e-books, which you can download for free.

Company

  • Buy Books
  • Sell your books
  • Terms and conditions
  • FAQ

Invest

  • Browse listing

Resources

  • Knowledge Hub
  • Blog
  • FAQ

© 2025. All Rights Reserved.

  • Privacy policy
  • Terms of service