Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Babu mkubwa ameangushwa na babu mdogo. jibu Mti na shoka
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Mzungu yuko ndani na ndevu ziko nje. jibu Hindi
Nimemwacha mzee kikongwe mtoni anangojea mgeni kulaki. jibu Mtego
Nina watoto watatu, mmoja akitoka kazi haifanyiki. jibu Mafiga
Mvua kidogo ng’ombe kaoga kichwa. jibu Jiwe
Nikicheka kinacheka, nikinuna kinanuna. jibu Kioo
Kilimsimamisha chifu njiani. jibu Chawa
Mlango wa nyumba yangu uko juu. jibu Shimo la mchwa
Ninakula vitu vyote vinono lakini sikui wala sinenepi. jibu Chungu cha kupikia
Kila linapofika kwetu hutanguliza makelele. jibu Mvua
Huku kutamu, huku kutamu, katikati uchungu. jibu Jua