Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Mzungu yuko ndani na ndevu ziko nje. jibu Hindi
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Amefunika kote kwa blanketi lake jeusi. jibu Giza
Babu hupiga kelele akojoapo. jibu Mvua
Mlimani sipandi. jibu Maji
Fahali wa ng’ombe na mbuzi wadogo machungani. jibu Mwezi na nyota angani
Nilipokuwa mchanga nilikuwa na kijikia lakini sasa sinacho. jibu Chura
Kila linapofika kwetu hutanguliza makelele. jibu Mvua
Mzizi wa miti hutokea mbali. jibu Siafu
Tandika kitanga tule kunazi. jibu Nyota
Huwafanya watu wote walie. jibu Moshi
Bak bandika, bak bandua. jibu Nyayo