Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nina watoto watatu, mmoja akitoka kazi haifanyiki. jibu Mafiga
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Huzikwa mmoja, hufufuka mmoja, huzeeka wengi. jibu Mbegu na matunda
Amekaa kimya na watoto wamemzunguka pande zote. jibu Mgomba
Nilimkata alafu nikamridhia. jibu Kupanda mbegu
Rafiki yangu ana mguu mmoja. jibu Uyoga
Ng’ombe wa baba watelemka mtoni. jibu Mawe mtoni
Kaburi la mfalme lina milango miwili. jibu Kata ya kuchukulia Maji kichwani
Namwomba atangulie lakini hukataa kabisa. jibu Kigino
Nina watoto watatu, mmoja akitoka kazi haifanyiki. jibu Mafiga
Unatembea naye wote umjiao atakuona. jibu Bakora
Wake wa mjomba kimo kimoja. jibu Vipande vya kweme