Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Huku kutamu, huku kutamu, katikati uchungu. jibu Jua
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Mbona kinakumeza lakini hakikuli? jibu Nyumba
Nyumba yangu kubwa, haina mlango. jibu Yai
Palikuwepo watu watatu wakivuka mto. Mmoja alivuka pasipo kukanyaga maji wala kuyaona; wa pili aliyaona maji lakini alivuka bila kuyakanyaga; wa tatu aliyaona na kuyakanyaga alipovuka. Ni nani hawa? jibu Was kwanza in Mtoto tumboni mwa mamake, was pili ni Mtoto aliyebebwa mgongoni, was tatu ni mama mwenyewe
Ngozi ndani nyama juu. jibu Firigisi
Hutembea watatu. jibu Mafiga
Teke teke huzaa gumugumu, na gumugumu huzaa teke teke. jibu Mahindi ama yai
Nina badilika umbo langu baada ya kila muda mfupi. jibu Kivuli
Nikimwita hunijibu nani. jibu Mwangwi
Wanakuja mmoja mmoja na kujiunga kuwa kitu kimoja. jibu Matone ya mvua
Wewe kipofu unaenda wapi huko juu? jibu Mkweme