Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Kila linapofika kwetu hutanguliza makelele. jibu Mvua
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Kina mikono na uso lakini hakina uhai. jibu Saa
Nilimkata alafu nikamridhia. jibu Kupanda mbegu
Nikienda arudi, nikirudi aenda. jibu Kivuli majini
Mtoto asemea pangoni. jibu Ulimi mdomoni
Nanywa supu na nyama naitupa. jibu Muwa
Hata Mzungu ameshindwa. jibu Mauti
Tangu kuzaliwa kwake sijamwona asimame wala kukimbia. jibu Mkufu
Naitumia ngazi hiyo kwa kupandia na kushukia. jibu Mwiba
Bak bandika, bak bandua. jibu Nyayo
Ninakula vitu vyote vinono lakini sikui wala sinenepi. jibu Chungu cha kupikia