Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Sina dada wala kaka, lakini baba wa huyu jamaa ni mtoto wa babangu. Ni nani huyo? jibu Mtoto wangu
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Mzee Kombe akilia watu hufurahi. jibu Mvua
Huwafanya watu wote walie. jibu Moshi
Nyumba yangu ina makuti tele, lakini mvua ikinyesha huvuja. jibu Mwembe
Aliwa, yuala; ala, aliwa. jibu Papa
Askari wangu wote wamevaa mavazi meusi. jibu Chunguchungu
Nakupa lakini mbona huachi kudai. jibu Tumbo
Mzungu yuko ndani na ndevu ziko nje. jibu Hindi
Nikipewa chakula nala bali natema. jibu Shoka
Ng’ombe za babu zinalala na mkia nje. jibu Viazi vitamu udongoni
Wanangu wawili hugombana mchana, usiku hupatana. jibu Mlango