Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Aliwa, yuala; ala, aliwa. jibu Papa
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Bawabu mmoja tu asiyeogopa chochote duniani. jibu Mlango
Kina mikono na uso lakini hakina uhai. jibu Saa
Hakuchi wala hakuchwi. jibu Kula
Haoni kinyaa. jibu Mvua
Akivaa nguo hapendezi, akiwa uchi apendeza. jibu Mgomba
Ukimwona anakuona. jibu Jua
Shangazi yangu ni mrefu sana lakini hafikii tumbo la kondoo. jibu Njia
Sijui aendako wala atokako. jibu Upepo
Shamba langu miti mitano tu. jibu Mkono wa vidole
Natembea juu ya miiba lakini sichomwi. jibu Ulimi