Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Askari wangu wote wamevaa mavazi meusi. jibu Chunguchungu
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Kila siku hupita njia hiyo hiyo bali arudipo hatumwoni. jibu Jua
Nakwenda msituni na mdogo wangu, lakini yeye namwacha huko. jibu (Answer missing)
Njoo hapa nije hapo. jibu Kiraka
Natembea juu ya miiba lakini sichomwi. jibu Ulimi
Namlalia lakini halii. jibu Kitanda
Mwadhani naenda lakini siendi. jibu Jua
Wanamwua nyoka. jibu Watu wanaotwanga
Mti wangu una matawi kumi na mawili na kila tawi lina majani kadiri ya thelathini. jibu Mwaka
Hata inyeshe namna gani haifiki humu. jibu Kwapani
Akivaa nguo hapendezi, akiwa uchi apendeza. jibu Mgomba