Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nyumba yangu ina makuti tele, lakini mvua ikinyesha huvuja. jibu Mwembe
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Nina kitu nipendacho ambacho hata baba, mama, dada, kaka hata na mgeni nimpendaye sana siwezi kumwazima. jibu Mke
Humu mwetu tuko wanne tu, ukimwona wa tano mwue. jibu Matendegu ya kitanda
Ng’ombe wa baba watelemka mtoni. jibu Mawe mtoni
Ukitembea ulimwengu wote utakosa nyayo. jibu Mwamba
Cheupe chavunjika manjano yatokea. jibu Yai
Mke wangu mfupi, lakini huvaa nguo nyingi. jibu Hindi
Huitumia kila siku lakini haiishi. jibu Miguu
Fika umwone umpendaye. jibu Kioo
Nimemwacha mzee kikongwe mtoni anangojea mgeni kulaki. jibu Mtego
Nina badilika umbo langu baada ya kila muda mfupi. jibu Kivuli