Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nyumba yangu ina nguzo moja. jibu Uyoga
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Nanywa supu na nyama naitupa. jibu Muwa
Nimekata mti bara ukaangusha matawi pwani. jibu Nzige
Kinaniita lakini sikioni. jibu Mwangwi
Anakuangalia tu wala halali au kutembea. jibu Picha
Ng’ombe wamechanganyika nikakosa wa kwangu. jibu Pesa/Nyayo
Ini la ng’ombe huliwa hata na walioko mbali. jibu Kifo
Tunajengajenga matiti juu. jibu Mapapai
Nina mwezi ndani ya bakuli. jibu Maziwa
Tandika kitanga tule kunazi. jibu Nyota
Aliwa, yuala; ala, aliwa. jibu Papa