Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nanywa supu na nyama naitupa. jibu Muwa
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Anatoka kutembea, anakuja nyumbani anamwambia mama, ‘Nieleke’. jibu Kitanda
Nimempandikiza mti wangu ukapeleka matawi ng’ambo ya mto. jibu Kivuli
Tonge la ugali lanifikisha pwani. jibu Jicho
Ukimwita kwa nguvu hasikii, lakini ukimwita polepole husikia. jibu Fisi
Akitokea watu wote hunungunika na kuwa na huzuni. jibu Ugonjwa
Huku kutamu, huku kutamu, katikati uchungu. jibu Jua
Likienda hulia, likirudi halilii. jibu Debe aka buyu
Jiwe litoalo maji. jibu Macho
Halemewi wala hachoki kubeba. jibu Ardhi
Kila linapofika kwetu hutanguliza makelele. jibu Mvua