Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Anakuangalia tu wala halali au kutembea. jibu Picha
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Msitu ambao haulii hondohondo. jibu Mimba
Wanapanda mlima kwa makoti mazuri meusi na meupe. jibu Vipepeo
Anakula lakini hashibi. jibu Mauti
Ukiukata haukatiki, ukiushika haushikiki. jibu Moshi
Hana mizizi, nimemkata mara nyingi lakini haachi kukua. jibu Ukucha
Mtu mdogo mwenye miguu mirefu ambaye aweza kutembea dunia nzima kwa dakika tano. jibu Mawazo
Panda ngazi polepole. jibu Sima ya ugali
Kila siku hupita njia hiyo hiyo bali arudipo hatumwoni. jibu Jua
Dada yangu akitoka kwao harudi kamwe. jibu Jani likwanyukapo
Hesabu haihesabiki. jibu Nyota