Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nilipitisha mkono wangu chini la ardhi, nikamshika beberu mkubwa sana. jibu Kiazi kikuu
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Nyumba yangu kubwa, haina taa. jibu Kaburi
Babu amefunga ushanga shingoni. jibu Mtama/Nazi
Tatu tatu mpaka pwani. jibu Mafiga
Kapanda mti pamoja na uchawi wake. jibu Tumbaku inaponuswa puani
Ngozi ndani nyama juu. jibu Firigisi
Hausimiki hausimami. jibu Mkufu
Mti mkubwa, lakini una matawi mawili tu. jibu Kichwa na masikio
Aliwa, yuala; ala, aliwa. jibu Papa
Amefunika kote kwa blanketi lake jeusi. jibu Giza
Nimempandikiza mti wangu ukapeleka matawi ng’ambo ya mto. jibu Kivuli