Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Mti mkubwa, lakini una matawi mawili tu. jibu Kichwa na masikio
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Nilipandia majanini nikashukia majanini. jibu Mwiba
Anakula lakini hashibi. jibu Mauti
Kitendawili change ukikitambua nitakupa hirizi. jibu Mimba
Watu wote ketini tumfinye mchawi. jibu Kula ugali
Nne nne mpaka pwani. jibu Matendegu
Ziwa dogo linarusha mchanga. jibu Chungu jikoni
Tonge la ugali lanifikisha pwani. jibu Jicho
Namkimbiza lakini simkuti. jibu Kivuli
Sijui aendako wala atokako. jibu Upepo
Hana mizizi, nimemkata mara nyingi lakini haachi kukua. jibu Ukucha