Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Babu amefunga ushanga shingoni. jibu Mtama/Nazi
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Hakionekani wala hakishikiki. jibu Hewa
Dume wangu amelilia machungani. jibu Radi
Teke teke huzaa gumugumu, na gumugumu huzaa teke teke. jibu Mahindi ama yai
Njoo hapa nije hapo. jibu Kiraka
Huna macho lakini wakamata wanyama. jibu Ndoana
Atapanya mbegu nyingi sana lakini hazioti. jibu Mvua
Nikimpiga huyu huyu alia. jibu Utomvu wa papai
Ini la ng’ombe huliwa hata na walioko mbali. jibu Kifo
Nyumba yangu ina nguzo moja. jibu Uyoga
Dada yangu akitoka kwao harudi kamwe. jibu Jani likwanyukapo