Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Tonge la ugali lanifikisha pwani. jibu Jicho
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Afuma hana mshale. jibu Nungunungu
Namlalia lakini halii. jibu Kitanda
La mgambo limelia wakatoka weusi tu. jibu Chunguchungu
Kila siku hupita njia hiyo hiyo bali arudipo hatumwoni. jibu Jua
Kiwanja kizuri lakini hakifai kuweka mguu. jibu Kipara
Watoto wa mtu mmoja hulala chini kila mwaka. jibu Maboga
Chang’aa chapendeza, lakini hakifikiwi. jibu Jua
Nina kijiti change, nizidivyo kukikata ndivyo kizidivyo kuwa kirefu. jibu Maisha
Kuku wangu amezalia miibani. jibu Nanasi au chungwa
Poopoo mbili zavuka mto. jibu Macho