Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Utahesabu mchana na usiku na hutamaliza kuhesabu. jibu Nywele
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Ameingia shimoni akiwa uchi, akatoka amevaa nguo nzuri. jibu Mbegu
Kufanya kwa ridhaa mojamoja. jibu Kusuka mkeka
Nilipigwa na tonge la ugali la moto nilipopita msituni. jibu Manyigu
Mfalme amesimika mkuki wake hapa name nikausimika wangu kando yake, baadaye hatukuitambulisha tena. jibu Kohozi
Rafiki yangu ana mguu mmoja. jibu Uyoga
Tuliua ng’ombe na babu, kila ajaye hukata. jibu Kinoo
Watu wawili hupendana sana; kati ya mchana hufuatana ingawa mmoja ni dhaifu. Usiku mdhaifu haonekani tena. jibu Kivuli
Huku kutamu, huku kutamu, katikati uchungu. jibu Jua
Anakula lakini hashibi. jibu Mauti
Mlima umezuia kutazama kwa mjomba. jibu Kisogo