Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Teke teke huzaa gumugumu, na gumugumu huzaa teke teke. jibu Mahindi ama yai
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Kilimsimamisha chifu njiani. jibu Chawa
Kisima kidogo kimejaa changarawe. jibu Kinywa na meno
Ngozi ndani nyama juu. jibu Firigisi
Kila mtu hata mfalme huheshimu akipita. jibu Mlango
Nanywa supu na nyama naitupa. jibu Muwa
Huwezi kukalia alipokalia msichana wangu mweusi. jibu Chungu jikoni
Hata inyeshe namna gani haifiki humu. jibu Kwapani
Kila linapofika kwetu hutanguliza makelele. jibu Mvua
Tuliua ng’ombe wawili ngozi ni sawasawa. jibu Mbingu na nchi
Baba alinipa mfupa, nikautunza ukawa fahali. jibu Muwa