Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Adui lakini po pote uendako yuko nawe. jibu Inzi
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Kidimbwi kimezungukwa na majani. jibu Macho
Mpini mmoja tu lakini majembe hayahesabiki. jibu Mkungu wa ndizi
Watoto wangu wote nimewavika kofia nyekundu. jibu Jogoo
Mfalme wetu hupendwa sana, lakini wakati wa kumwona lazima umtoe nguo zote kwanza. jibu Hindi
Nakikimbilia lakini sikikuti. jibu Njia
Babu mkubwa ameangushwa na babu mdogo. jibu Mti na shoka
Kaburi la mfalme lina milango miwili. jibu Kata ya kuchukulia Maji kichwani
Hata Mzungu ameshindwa. jibu Mauti
Fika umwone umpendaye. jibu Kioo
Kileee! Hiki hapa. jibu Kivuli