Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Watoto wa mtu mmoja hulala chini kila mwaka. jibu Maboga
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Wanangu wawili hugombana mchana, usiku hupatana. jibu Mlango
Nguo ivaliwayo kila siku isiyoingiwa na chawa. jibu Nyusi
Nameza lakini sishibi. jibu Mate
Huzikwa mmoja, hufufuka mmoja, huzeeka wengi. jibu Mbegu na matunda
Anakula lakini hashibi. jibu Mauti
Mzizi wa miti hutokea mbali. jibu Siafu
Kaka yangu anapanda darini na fimbo nyuma. jibu Paka na mkia wake
Kondoo za mtoto zamaliza mavuno. jibu Jiwe la kusagia
Mlimani sipandi. jibu Maji
Umempiga sungura akatoa unga. jibu Funds LA mbuyu