Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Askari wangu wote wamevaa kofia upande. jibu Majani
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Namlalia lakini halii. jibu Kitanda
Babako akojoapo hunung’unika. jibu Mawingu
Chang’aa chapendeza, lakini hakifikiwi. jibu Jua
Mwanamke mfupi hupiga kelele njiani. jibu Kunguru
Nina kitu changu kitumiwacho na wengine kuliko mimi. jibu Jina
Tajiri aniweka mfukoni na maskini anitupa. jibu Makamasi
Je, unaweza, kukua ukampita mzee wako? jibu Nywele kichwani
Hulala tulalapo, huamka tuamkapo. jibu Jua
Nimefyeka mitende yote kiungani isipokuwa minazi miwili tu. jibu Masikio
Watu wawili hupendana sana; kati ya mchana hufuatana ingawa mmoja ni dhaifu. Usiku mdhaifu haonekani tena. jibu Kivuli