Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Dume wangu amelilia machungani. jibu Radi
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Nimeweka ndizi yangu, asubuhi siioni. jibu Nyota
Ng’ombe wa baba watelemka mtoni. jibu Mawe mtoni
Mwepesi, lakini aweza kuvunja nyumba za mji wote. jibu Tufani
Nikimpiga huyu huyu alia. jibu Utomvu wa papai
Bawabu mmoja tu asiyeogopa chochote duniani. jibu Mlango
Mkanda mrefu wafka mpaka pwani. jibu Njia
Nina kitu nipendacho ambacho hata baba, mama, dada, kaka hata na mgeni nimpendaye sana siwezi kumwazima. jibu Mke
Mama ametengeneza chakula lakini hakula. jibu Chungu cha kupikia
Nikitupa mshale wangu mchana huenda mbali sana, lakini niutupao usiku hauendi mbali. jibu Jicho
Nilipitisha mkono wangu chini la ardhi, nikamshika beberu mkubwa sana. jibu Kiazi kikuu