Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Watoto wangu wana vilemba, asio kilemba si mwanangu. jibu Fuu
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Mvua hema na jua hema. jibu Kobe
Haina miguu wala mikono, lakini, yabeba magogo. jibu Maji
Chungu change cha udongo hakipasuki kikianguka. jibu Mjusi/Panya
Amefunika kote kwa blanketi lake jeusi. jibu Giza
Huwafanya watu wote walie. jibu Moshi
Hamwogopi mtu yeyote. jibu Njaa
Mti wangu una matawi kumi na mawili na kila tawi lina majani kadiri ya thelathini. jibu Mwaka
Nameza lakini sishibi. jibu Mate
Shamba langu kubwa lakini mavuno hayajazi kiganja. jibu Nywele kichwani
Hawa wanaingia hawa wanatoka. jibu Nyuki mzingani