Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Hawa wanaingia hawa wanatoka. jibu Nyuki mzingani
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Mbona mwakunjiana ngumi bila kupigana? jibu Mafiga
Nimefyeka mitende yote kiungani isipokuwa minazi miwili tu. jibu Masikio
Nimemtahiri binti wangu akatoa damu mchana kutwa. jibu Kivuli
Mlima wa kwetu hupandwa na mfalme. jibu Nafasi kati ya mdomo na pua ya ngombe
Tatarata mpaka ng’ambo ya mto. jibu Utando wa baibui
Alipita mtu ana bunda la mshale. jibu Mkindu
Zilitazamana na mpaka sasa hazijakutana. jibu Kingo za mto
Nusu mfu nusu hai. jibu Sungura alalapo
Ule usile mamoja. jibu Kifo
Nina badilika umbo langu baada ya kila muda mfupi. jibu Kivuli