Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Wanapanda mlima kwa makoti mazuri meusi na meupe. jibu Vipepeo
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Chungu change cha udongo hakipasuki kikianguka. jibu Mjusi/Panya
Nina pango langu lilojaa mawe. jibu Kinywa
Nimekata mti bara ukaangusha matawi pwani. jibu Nzige
Kisima kidogo kimejaa changarawe. jibu Kinywa na meno
Nilijenga nyumba yangu yenye mlango mmoja. jibu Jani la mgomba la nchani
Mwezi wangu umepasuka. jibu Kweme
Kila mtu atapitia malango huo. jibu Kifo
Nikienda arudi, nikirudi aenda. jibu Kivuli majini
Hata inyeshe namna gani haifiki humu. jibu Kwapani
Hata jua likiwaka namna gani hakauki wala kupata joto. jibu Pua ya mbwa