Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nilijenga nyumba yangu yenye mlango mmoja. jibu Jani la mgomba la nchani
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Panda ngazi polepole. jibu Sima ya ugali
Nilipitisha mkono wangu chini la ardhi, nikamshika beberu mkubwa sana. jibu Kiazi kikuu
Mzee Kombe akilia watu hufurahi. jibu Mvua
Nimesimama mbali nyikani lakini naonekani. jibu Moto
Hata inyeshe namna gani haifiki humu. jibu Kwapani
Nimekata mti bara ukaangusha matawi pwani. jibu Nzige
Mvua hema na jua hema. jibu Kobe
Baba ameweka mkuki nje nikashindwa kuukwea, mdogo wangu akaukwea. jibu Sisimizi
Hauchagui chifu wala jumbe. jibu Utelezi
Ondoka nikae. jibu Maji ya mfereji