Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Hata jua likiwaka namna gani hakauki wala kupata joto. jibu Pua ya mbwa
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Cheupe chavunjika manjano yatokea. jibu Yai
Nina pango langu lilojaa mawe. jibu Kinywa
Pete ya mfalme ina tundu katikati. jibu Kata ya kuchukulia mizigo
Wanangu wawili hugombana mchana, usiku hupatana. jibu Mlango
Chakula kikuu cha mtoto. jibu Usingizi
Babu hupiga kelele akojoapo. jibu Mvua
Chungu kikubwa sana chenye kifuniko kikubwa sana. jibu Dunia na mbingu
Mpini mmoja tu lakini majembe hayahesabiki. jibu Mkungu wa ndizi
Hachelewi wala hakosei safari zake. jibu Jua
Bak bandika, bak bandua. jibu Nyayo