Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Wako karibu lakini hawasalimiani. jibu Nyumba ama kuta zinazoelekeana
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Fika umwone umpendaye. jibu Kioo
Mfalme wetu hupendwa sana, lakini wakati wa kumwona lazima umtoe nguo zote kwanza. jibu Hindi
Aliwa, yuala; ala, aliwa. jibu Papa
Nimempeleka kondoo wangu akatoa damu mchana kutwa. jibu Mgomba
Likitoka halirudi. jibu Neno
Sijui aendako wala atokako. jibu Upepo
Ukimwona anakuona. jibu Jua
Mlima mkubwa wapandwa kuanzia juu. jibu Sima/Ugali
Anakula kila siku lakini hashibi na hatashiba. jibu Mchanga
Kaka yangu anapanda darini na fimbo nyuma. jibu Paka na mkia wake