Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Mlima mkubwa wapandwa kuanzia juu. jibu Sima/Ugali
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Dume wangu amelilia machungani. jibu Radi
Mlima wa mwenyewe hupandwa na mwenyewe. jibu Buibui na utando wake
Kuna ziwa kubwa ambalo limekauka na limebakiza mizizi. jibu Chongo
Naitumia ngazi hiyo kwa kupandia na kushukia. jibu Mwiba
Twamsikia lakini hatumwoni. jibu Sauti
Nikija kwenye ndege wananifukuza, na nikienda kwenye wanyama hawanitaki. jibu Popo
Nyumba yangu ina nguzo moja. jibu Uyoga
Alipita mtu ana bunda la mshale. jibu Mkindu
Watu wamehama askari wekundu wakazidi nyikani. jibu Viroboto
Nikimwita hunijibu nani. jibu Mwangwi