Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Ukimwona anakuona. jibu Jua
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Ajenga ingawa hana mikono. jibu Ndege
Shangazi yangu ni mrefu sana lakini hafikii tumbo la kondoo. jibu Njia
Amejitwika mzigo mkubwa kuliko yeye mwenyewe. jibu Konokono/Koa
Babu, nyanya, mjomba, mama, baba na watoto, mna safari ya wapi? jibu Siafu
Nina mwezi ndani ya bakuli. jibu Maziwa
Ndugu wawili wafanana sana, lakini hawatembeleani. jibu Macho
Mzungu yuko ndani na ndevu ziko nje. jibu Hindi
Hupanda mtini na mwenye kichaa wake. jibu Kivuli
Kama unapenda, mbona usile? jibu Ulimi
Tatarata mpaka ng’ambo ya mto. jibu Utando wa baibui