Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Afuma hana mshale. jibu Nungunungu
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Amekaa kimya na watoto wamemzunguka pande zote. jibu Mgomba
Babu, nyanya, mjomba, mama, baba na watoto, mna safari ya wapi? jibu Siafu
Amefunika kote kwa blanketi lake jeusi. jibu Giza
Mke wangu mfupi, lakini huvaa nguo nyingi. jibu Hindi
Ng’ombe wamechanganyika nikakosa wa kwangu. jibu Pesa/Nyayo
Halemewi wala hachoki kubeba. jibu Ardhi
Ukimwona anakuona. jibu Jua
Mtoto asemea pangoni. jibu Ulimi mdomoni
Nilitembea na mwezangu naye hupita vichakani. jibu Kivuli
Babu anakula ng’ombe, analea fupa linakuwa ng’ombe. jibu Muwa