Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Kuku wangu amezalia miibani. jibu Nanasi au chungwa
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Ini la ng’ombe huliwa hata na walioko mbali. jibu Kifo
Njoo hapa nije hapo. jibu Kiraka
Nyama ndogo imewashibisha wengi wala isiishe. jibu Kinoo
Kanipa ngozi nikapikia, kanipa nyama nikala, kanipa mchuzi nikanywa, kanipa mfupa nikautumia. jibu Nazi
Anatoka kutembea, anakuja nyumbani anamwambia mama, ‘Nieleke’. jibu Kitanda
Kila siku hupita njia hiyo hiyo bali arudipo hatumwoni. jibu Jua
Mti mkubwa, lakini una matawi mawili tu. jibu Kichwa na masikio
Nikitupa mshale wangu mchana huenda mbali sana, lakini niutupao usiku hauendi mbali. jibu Jicho
Nyumba yangu kubwa, haina taa. jibu Kaburi
Mlimani sipandi. jibu Maji