Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Kila mtu hata mfalme huheshimu akipita. jibu Mlango
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Ndugu wawili wafanana sana, lakini hawatembeleani. jibu Macho
Ukiukata haukatiki, ukiushika haushikiki. jibu Moshi
Paa alipenga hata pua ikapasuka. jibu Mbarika
Hachelewi wala hakosei safari zake. jibu Jua
Mwalimu analala na mwanafunzi wanamsomea. jibu Kinyesi na inzi
Ukimwita kwa nguvu hasikii, lakini ukimwita polepole husikia. jibu Fisi
Nilipitisha mkono wangu chini la ardhi, nikamshika beberu mkubwa sana. jibu Kiazi kikuu
Atolewapo nje hufa. jibu Samaki
Hesabu haihesabiki. jibu Nyota
Kisima kidogo kimejaa changarawe. jibu Kinywa na meno