Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Huitumia kila siku lakini haiishi. jibu Miguu
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Haina miguu wala mikono, lakini, yabeba magogo. jibu Maji
Nilijenga nyumba yangu yenye mlango mmoja. jibu Jani la mgomba la nchani
Tangu kuzaliwa kwake sijamwona asimame wala kukimbia. jibu Mkufu
Pete ya mfalme ina tundu katikati. jibu Kata ya kuchukulia mizigo
Nimezungukwa na adui wengi, lakini siumizwi. jibu Ulimi na meno
Ziwa dogo linarusha mchanga. jibu Chungu jikoni
Mwanang’ang’a hulia mwituni. jibu Shoka
Hausimiki hausimami. jibu Mkufu
Amchukuapo hamrudishi. jibu Kaburi
Nina badilika umbo langu baada ya kila muda mfupi. jibu Kivuli