Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Humu mwetu tuko wanne tu, ukimwona wa tano mwue. jibu Matendegu ya kitanda
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Ukimwona anakuona. jibu Jua
Mfalme hushuka kwa kelele. jibu Mvua
Chatembea na hakijapata kupumzika hata nukta moja. jibu Mwezi/Jua
Namkimbiza lakini simkuti. jibu Kivuli
Nimeweka ndizi yangu, asubuhi siioni. jibu Nyota
Sijui aendako wala atokako. jibu Upepo
Tulikaribishwa mahali na mdogo wangu, yeye akaanza kushiba kabla yangu. jibu Kucha
Natembea juu ya miiba lakini sichomwi. jibu Ulimi
Nameza lakini sishibi. jibu Mate
Nitokeapo kila mmoja asema namtazama yeye tu. jibu Jua au mwezi