Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nimezaliwa na mguu mmoja. jibu Uyoga
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Tukate kwa visu ambacho hakitakatika. jibu Maji
Natengeneza mafuta lakini nimepauka sana. jibu Mzinga wa nyuki kwa nje
Nameza lakini sishibi. jibu Mate
Nakikimbilia lakini sikikuti. jibu Njia
Nina ng’ombe wangu nisipomshika mkia hali majani. jibu Jembe
Mti mkubwa, lakini una matawi mawili tu. jibu Kichwa na masikio
Hutembea watatu. jibu Mafiga
Nikitembea yuko, nikikimbia yuko, nikiingia ndani hayupo. jibu Kivuli
Nikimpiga huyu huyu alia. jibu Utomvu wa papai
Kondoo za mtoto zamaliza mavuno. jibu Jiwe la kusagia