Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Nimetupa mshale angani wala sitambui utateremsha ndege wa namna gani. jibu Mimba
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Mchana ‘ti’ usiku ‘ti’. jibu Mlango
Namwomba atangulie lakini hukataa kabisa. jibu Kigino
Ukoo wa liwali hauna haya. jibu Wanyama
Nimekata mti bara ukaangusha matawi pwani. jibu Nzige
Wanatembea lakini hawatembelewi. jibu Macho
Anakula lakini hashibi. jibu Mauti
Mpini mmoja tu lakini majembe hayahesabiki. jibu Mkungu wa ndizi
Nikimwita hunijibu nani. jibu Mwangwi
Nilijenga nyumba yangu yenye mlango mmoja. jibu Jani la mgomba la nchani
Je, unaweza, kukua ukampita mzee wako? jibu Nywele kichwani