Savanis
Bookshop
Home
Blog
Departments
Computer Science and Engineering
Civil Engineering
Machanical engineering
EEE
BBA
Literature
Others
Text book centre buy now
Uncategorized
Manga Books
Books
Login
Je, unaweza, kukua ukampita mzee wako? jibu Nywele kichwani
Enter kitendawili
Related vitendawili na majibu yake
Kiti nyikani. jibu Uyoga
Hakionekani wala hakishikiki. jibu Hewa
Bibi kikongwe apepesa ufuta. jibu Kope za macho
Amefunika kote kwa blanketi lake jeusi. jibu Giza
Natembea na wenzangu lakini tukifika kwenye nyumba mimi hukaa mlangoni. jibu Mbwa
Nyanya yako ana huruma kukubeba ulalapo. jibu Kitanda
Po pote niendako anifuata. jibu Kivuli
Nusu mfu nusu hai. jibu Sungura alalapo
Ziwa dogo linarusha mchanga. jibu Chungu jikoni
Dada yangu kaoga nusu. jibu Jiwe mtoni